Dr Mkumbo,Dr Fredrick na Dr. william tukiwa wodini tukitoa huduma kwa ndugu na jamaa katika wodi ya wajawazito hospitali ya tiba na afya Bugando.
Karibuni sana katika hospitali ya rufaa ya bugando yenye huduma nzuri na upendo wa hali ya juu sana.
Pia napenda kuwakaribisha kwa wale wenye ndoto za kuwa madaktari au wazazi muwalete watoto wenu katika chuo kikuu cha tiba na afya magonjwa ya binadamu kwa sasa kinaitwa catholic university of health and allied sciences- bugando.
Nawakaribisheni sana kwa wale wenye donto za udaktari na wenye magonjwa mbalimbali kwa uchunguzi wa kitalamu.





























Post a Comment